Posts

Showing posts from June, 2016

CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE CHAFANYA KONGAMANO KUHUSU UADILIFU NA UTAWALA BORA KATIKA KUSIMAMIA RASILIMALI ZETU

Image
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dk.Lenard Akwilapo akikabidhiwa picha na Mwakilishi Makazi wa Shirika la KAS, Daniel El-Noshokaty ya waasisi wa ushirikiano kati ya Tanzania na Shirika lisilo la Konrad Adenauer Stiftung (KAS) la nchini Ujerumani, Hayati Mwalimu Julius Nyerere (kushoto pichani) na Konrad Adenauer (kulia), wakati wa Kongamano la la kitaifa na kimataifa lililokuwa na mada yake kuu uadilifu wa viongozi na utawala bora katika usimamizi wa maliasili kwa ajili ya maendeleo endelevu ya Tanzania lililofanyija  katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni Dar es Salaam juzi. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Philip Mangula akichangia jambo kwenye kongamano hilo. Taswira katika ukumbi wakati wa kongamano hilo. Mhadhiri wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,  Apium Chengula (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa majumuisho yaliyofikiwa katika kongam...