WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA WA KIISLAMU WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE WAKARIBISHWA CHUONI HAPO, YAFANYWA HARAMBE, SH. MILIONI 12 ZAPATIKANA




Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau, akizungumza katika hafla ya kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Kiislam na harambe ya kuchangia mfuko wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislam wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni Dar es Salaam leo, ambapo katika harambe hiyo, sh. milioni 12 zilipatikana kwa ajili ya kutunisha mfuko wa Jumuiya. Katikati ni Mhadhiri wa Dini ya Kiislam, Sheikh Ramadhan Mbukuzi na Amiri wa wanafunzi wa Kiislamu chuoni hapo, Mhini Mganga. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Baadhi ya wanafunzi wa Kiislam wa Mwaka wa kwanza, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau, awakati alipokuwa kizungumza katika hafla ya kuwakaribisha pamoja na harambe ya kuchangia mfuko wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislam wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni Dar es Salaam leo, ambapo katika harambe hiyo, sh. milioni 12, zilipatikana.
Baadhi ya wanafunzi wa Kiislam wa Mwaka wa kwanza na wageni mbalimbali, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau, awakati alipokuwa kizungumza katika hafla ya kuwakaribisha pamoja na harambe ya kuchangia mfuko wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislam wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni Dar es Salaam leo, ambapo katika harambe hiyo, sh. milioni 12 zilipatikana.
Baadhi ya wageni mbalimbali pamoja na wanafunzi wa Kiislam wa Mwaka wa kwanza, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau, wakati alipokuwa kizungumza katika hafla ya kuwakaribisha pamoja na harambe ya kuchangia mfuko wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislam wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni Dar es Salaam leo, ambapo katika harambe hiyo, sh. milioni 12, zilipatikana.
Mgeni rasmi katika makaribisho hayo, Mwenyekiti wa 'The Islamic Foundation', Aref Nahdi (kushoto), ambao ni wamiliki wa Radio na TV Iman, Mhadhiri wa Dini ya Kiislam, Sheikh Ramadhan  Mbukuzi (kulia) na Amiri wa wanafunzi wa Kiislamu chuoni hapo, Mhini Mganga (katikati), wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau, wakati alipokuwa akizungumza katika hafla ya kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Kiislam na harambe ya kuchangia mfuko wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislam wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni Dar es Salaam leo, ambapo katika harambe hiyo, sh. milioni 12 zilipatikana kwa ajili ya kutunisha mfuko wa Jumuiya.
Baadhi ya wanafunzi wa Kiislam wa Mwaka wa kwanza na wageni mbalimbali, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau, awakati alipokuwa kizungumza katika hafla ya kuwakaribisha pamoja na harambe ya kuchangia mfuko wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislam wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni Dar es Salaam leo, ambapo katika harambe hiyo, sh. milioni 12 zilipatikana.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau, akizungumza katika hafla ya kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Kiislam na harambe ya kuchangia mfuko wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislam wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni Dar es Salaam leo, ambapo katika harambe hiyo, sh. milioni 12, zilipatikana kwa ajili ya kutunisha mfuko wa Jumuiya.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau, akizungumza katika hafla ya kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Kiislam na harambe ya kuchangia mfuko wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislam wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni Dar es Salaam leo, ambapo katika harambe hiyo, sh. milioni 12 zilipatikana kwa ajili ya kutunisha mfuko wa Jumuiya. Kushoto ni Mc wa shughuli hiyo, Salim Khator.
Mwakilishi wa Jumuiya ya wananchi wa Yemen waishio nchini (DYCCC), Hassan Alwan, akizungumza katika hafla hiyo. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau na kushoto ni Mhadhiri wa Dini ya Kiislam, Sheikh Ramadhan Mbukuzi.
Mwakilishi wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Kiislamu wa Chuo hicho, Salim Kilingo, akisoma risala mbele ya mgeni rasmi, Mwenyekiti wa 'The Islamic Foundation', Aref Nahdi (hayupo pichani), ambao ni wamiliki wa Radio na TV Iman.
Mgeni rasmi katika hafla ya makaribisho ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Kiislamu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni, Mwenyekiti wa 'The Islamic Foundation', Aref Nahdi, akitoa hotuba yake katika hafla hiyo jijini Dar es Salaam leo, ambapo aliahidi kuwasaidia wanafunzi hao kwa hali na mali mpaka watakapofikia malengo yao katika masomo yao. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau, kushoto ni Mhadhiri wa Dini ya Kiislam, Sheikh Ramadhan Mbukuzi na wa pili kulia ni mhadhiri wa dini hiyo, Sheikh Shaaban Mazinge.
Mhadhiri wa Dini ya Kiislam, Sheikh Shaaban Mazinge, akiendesha mnada katika harambe ya kutunisha mfuko wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislam katika chuo hicho. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau na kushoto ni Mhadhiri wa Dini ya Kiislam, Sheikh Ramadhan Mbukuzi. 

Wanajumuiya ya wanafunzi wa Kiislam wa Chuo hicho, wakipiga picha ya kumbukumbu pamoja na Mhadhiri wa Dini ya Kiislam, Sheikh Shaaban Mazinge (katikati waliosimama), mara baada ya kumalizika hafla hiyo.

Wanakamati ya maandalizi ya hafla hiyo, wakipiga picha ya kumbukumbu pamoja na Mhadhiri wa Dini ya Kiislam, Sheikh Shaaban Mazinge (wa tatu nyuma kushoto), mara baada ya kumalizika hafla hiyo

Comments

Popular posts from this blog

DKT SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA KWANZA LA HAYATI SHEIKH ABEID AMANI KARUME KAMPASI YA BUBU

CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE CHAFANYA KONGAMANO KUHUSU UADILIFU NA UTAWALA BORA KATIKA KUSIMAMIA RASILIMALI ZETU