MAKTABA YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE YAWA KITOVU CHA MAARIFA
Mmoja wa Wanafunzi wa chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa katika maktaba ya chuo hicho iliyosheeni vitabu katika nyanja mbalimbali, akichagua moja ya vitabu aweze kuongeza maarifa
Baadhi ya Wanafunzi wakichagua vitabu kwa ajili ya kujisomea ndani ya maktaba ya chuo
wanafunzi wakijisomea katika Maktaba ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
Wanafunzi wakijisomea Magazeti ndani ya Maktaba ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

Comments
Post a Comment